19th January, 2021
Uga wa kinoru katu haujafika kiwango cha kutumika kuandaa michuano ya soka ya hadhi kulingana na shirikisho la soka nchini FKf. Uga huuu umekarabatiwa lakini kuna mawili matatu yaliyosalia kabla kuanza kutumiwa kwa michuano yoyote ile.