×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Charity Ngilu apinga madai ya Ruto kwamba Kalonzo Musyoka alinyakua ardhi ya NYS eneo la Yatta

19th January, 2021

Kiongozi wa chama cha wiper Kalonzo Musyoka sasa anamtaka naibu Rais William Ruto kukubali wafanyiwe uchunguzi wa kina na wazi kuhusu mali wanayomiliki hususan masuala ya mashamba baada ya ruto kudai kwamba musyoka amejenga makazi yake huko yata kwenye ardhi aliyonyakuwa. Akijibu madai hayo, kalonzo anashinikiza kwamba ruto akubali kufanyiwa uchunguzi wa angalau sakata saba za ardhi miongoni mwa sakata zingine anazohusishwa nazo. 

.
RELATED VIDEOS