Mazishi ya uchungu: Watu wanne kati ya watano waliouawa usiku wa januari tarehe tano wamezikwa
16, Jan 2021
watu wanne kati ya watano waliouawa usiku wa januari tarehe tano wamezikwa. mazishi hayo yalifanyika chini ya ulinzi mkali wa polisi yakihudhuriwa na walioijua familia na wasioijua. wanne hao ambao ni baba, mkewe na wanawe wawili waliuawa kinyama na watu wasiojulikana