x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Tathmini ya COVID-19: Wakenya 123 zaidi waambukizwa virusi vya COVID-19

03, Jun 2020

Mvulana wa miaka 12 ni miongoni mwa waathiriwa 3 waliofariki katika saa 24 zilizopita kutokana na virusi vya korona huku idadi ya watu 123  kati ya sampuli 2, 112 kuthiibitishwa kuwa na virusi vya korona. Hatahivyo, wagonjwa 54 zaidi wamepona na kufikisha idadi ya wagonjwa 553 waliopona kwa sasa.

Feedback