Fidia ziwani Nakuru : Walioathika na maji kufidiwa ili wahamie mahala salama

KTN News May 22,2020


View More on Dira ya Wiki

Hatimaye serikali ya kaunti ya nakuru sasa kwa ushirikiano na shirika la kws na masoroveya wamezuru maeneo yaliyoathirika na chemichemi za maji kutoka ziwa nakuru, na kuahidi kuwafidia waathiriwa.