Kenya huenda ikapigwa marufu kushiriki mechi za mchujo wa kombe la dunia kwa kosa la kutomlipa kocha

KTN News May 18,2020


View More on Sports

Kenya huenda ikapigwa marufuku kushiriki mechi za mchujo wa kombe la dunia 2022 kwa kosa la kutomlipa kocha wa zamani Adel Amrouche shilingi 109 baada ya kumfuta kazi kinyume cha sheria. Mshambuliaji wa Harambee Stars Michael Olunga amesema adhabu hiyo itavunja moyo kikosi hicho kilicho na kiu ya kombe la dunia