Virusi vya Corona : Zaidi ya watu 2000 wamefariki duniani, virusi vilianzia nchini China

KTN News Mar 02,2020


View More on Leo Mashinani

Waziri Mpya Wa Afya Mutahi Kagwe, Amesema Kuwa Wizara Yake Itaweka Vituo Vya Dharura Kukabiliana Na Maambukizi Ya Virusi Vya Korona Katika Kaunti Zote Nchini. Kadhalika Amesema Kuwa Wanafunzi Raia Wa Kenya Waliokwama Katika Mji Wa Wuhan Ambao Ni Chimbuko La Virusi Vya Corona Nchini China, Watatumiwa Msaada Wa Shilingi Milioni Moja Kuwasaidia Kujikimu Kimaisha Huku Uamuzi Ukisubiriwa Kuhusu Ikiwa Watarejeshwa Nchini Au La?