Binti mmoja akamatwa huko Migori kwa madai ya kutaka kuwauza watoto

KTN News Feb 28,2020


View More on Leo Mashinani

Binti Mmoja Mwenye Umri Wa Miaka Ishirini Na Mitatu Mjini Migori Ametiwa Mbaroni Baada Ya Kupatikana Akijaribu Kuwauza Wanawe Wa Umri Wa Miaka Minne Na Miaka Miwili. Inadaiwa Trizah Mossian Alitaka Kuwauza Watoto Hao Kwa Kima Cha Shilingi Laki Nne Ili Kununua Ardhi Na Vile Vile Kukimu Mahitaji Ya Pacha Wake Ambao Pia Ni Wadogo. Trizah Anadai Bwanake Alimwachia Watoto Na Kutoroka.