.
23rd February, 2020
Gavana Wa Kaunti Ya Kericho Paul Chepkwony Na Naibu Wa Gavana Wa Nakuru Eric Korir Wameyashutumu Vikali Matamshi Ya Baadhi Ya Viongozi Wa Jamii Ya Maa Wakati Wa Mkutano Wa BBI Katika Kaunti Ya Narok Uliofanyika Siku Ya Jumamosi. Viongozi Hao Wanadai Matamshi Ya Viongozi Wa Maa, Yanapenyezea Sera Za Mgawanyiko.