Gideon Moi awashukuru wakenya kwa kujitokeza kuifariji familia yake

KTN News Feb 10,2020


View More on KTN Leo

        Seneta wa Baringo Gideon Moi hii leo ameiongoza familia ya rais mstaafu mwendazake Daniel Arap Moi kuwashukuru wakenya kwa kujitokeza kuifariji familia yake kufuatia kufariki kwa rais mstaafu wiki iliyopita. Seneta Moi alitangamana na wakenya walaiokuwa foleni wakisubiri kuutizama mwili wa marehemu rais bungeni.