×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Sherehe ya kitamaduni jeshini yafanyika Nairobi huku nchi kadhaa Afrika zikihudhiria

1st February, 2020

Sherehe za kitamaduni zilifanywa hivi leo nairobi ambazo ni za vikosi vya jeshi nchi kumi kutoka afrika kusini na afrika mashariki zilihudhuria sherehe hizo ambazo zilikuwa na maonyesho ya vyakula mbalimbali na densi zao tofauti . Meja generali  M.K Ong'oyi asema kuwa sherehe hizi itaimarisha na kuendeleza uhusiano nzuri kati ya kenya na nchi nyingine Afrika.pia, zitawahamasisha watu kuithamini utamaduni wao na maadili ya nchi  nyingine.

.
RELATED VIDEOS