.
25th January, 2020
Mji wa Athi River ni miongoni mwa maeneo karibu na Nairobi walimokimbilia wakazi wengi kuepuka msongamano. Lakini sasa baadhi ya mitaa mjini humo ni maeneo yaliyojawa maji taka, mengine yakitiririka na kutumika shambani kunyunyizia mimea, mengine yakileta matope barabarani nyakati zote.