KANU NA BBI: Gavana Tolgos kuongoza mikutano ya BBI katika eneo la Bonde la Ufa

KTN News Jan 24,2020


View More on Leo Mashinani

Baadhi Ya Wazee Kutoka Jamii Ya Keiyo Kaunti Ya Elgeyo Marakwet Wamempongeza Rais Uhuru Kenyatta Kwa Kumteua Gavana Wa Kaunti Hiyo Alex Tanui Tolgos Kuongoza Mikutano Ya BBI Katika Eneo La Bonde La Ufa. Wakizungumza Mjini Eldoret Wazee Hao Wamesema Wapo Tayari Kuhamasisha Umma Kuhusiana Na Umuhimu Wa BBI