Biwi la Simanzi yatanda Nakuru baada ya wanafunzi wawili kuuliwa na radi

KTN News Jan 22,2020


View More on KTN Leo

Hali ya simanzi ilitanda katika kijiji cha Mkulima eneo bunge la Kuresoi  kaunti ya Nakuru wakati wa mazishi ya wanafunzi watatu wa shule ya msingi waliopoteza maisha yao baada ya kupigwa na radi wiki iliyopita. Wanafunzi Peter Mucheru, Hezekiah okibo na elija saudi wote wa shule ya msingi ya mkulima walipigwa na radi wakicheza katika shule hiyo.