Hofu ya ndovu : Wenyeji wa kijiji cha Jogoo kaunti ya Nakuru wanaishi kwa hofu ya kuvamiwa na ndovu

KTN News Jan 21,2020


View More on KTN Leo

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 18.0px; font: 10.0px Arial} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>

Wakazi wa mtaa wa Jogoo kaunti ya Nakuru wanakadiria hasara ya mazao yao mashambani  ambayo wanadai yameharibiwa na ndovu ambaye amekuwa akiwahangaisha tangu mwezi julai mwaka jana. Aidha, wanadai kuwa wanaishi kwa hofu ya kushambuliwa na mnyama huyo wanayesema huwa huwa anakwepa kutoka msitu wa koibatek ulio eneo hilo. Wanataka shirika la huduma kwa wanyama pori kws kuchukua hatua.