Babu Owino ataendelea kuzuiliwa rumande kwa siku Saba zaidi
20th January, 2020
<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.4px; font: 10.0px Arial}
span.s1 {font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'}
span.Apple-tab-span {white-space:pre}
</style>
Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino ataendelea kuzuiliwa kwa siku saba hadi ripoti ya dhamana yake itakapotayarishwa. Huku hayo yakijiri, muungano wa wacheza ngoma yaani Djs wanaendelea kukusanya sahihi ili kuleta mabadiliko ya kisheria yatakayoharamisha silaha vilabuni. ?