Rais Uhuru Kenyatta ataja wanakamati 12 watakaoshughulika na suala la ripoti ya BBI

KTN News Jan 13,2020


View More on KTN Leo

Rais Uhuru Kenyatta ameyachapisha rasmi majina ya wanakamati wa BBI na mda wa kuhudumu kwenye gazeti la kiserikali Fauka ya hayo, 14 hao watatakiwa kusimamia utekelezaji wa ripoti chini ya jina United Kenya Taskforce Report Hata hivyo mwanaharakati Okiya Omtatah amewasilisha ombi mahakamani kupinga kuongezwa kwa  kipindi cha kuhudumu cha jopo.