Wafanya biashara soko la Lodwar wameilamu serikali kwa kuwatoza ushuru wa juu

KTN News Jan 13,2020


View More on KTN Leo

Zaidi ya wafanyibiashara 300 katika soko la Lodwar kaunti ya Wajir wamelaumu serikali ya kaunti hiyo kwa kuwatoza ushuru wa juu ambao wengi wao wameshindwa kumudu. Wanadai kuwa kwa sasa wamezuiwa kuingia kwenye soko hilo kuendeleza biashara zao kwa madai ya kutolipa ushuru  huo licha ya kuwa pesa wanazotoa kama ushuru hazitumiwi kuimarisha huduma wanazohitaji kama usafi wa soko.