Wafanyabiashara huko Lodwar walalamikia ushuru, wanasema miundomsingi ni duni sokoni

KTN News Jan 13,2020


View More on Leo Mashinani

Zaidi Ya Wafanyabiashara Mia Tatu Wa Kiwango Cha Chini Wamezuiliwa Kuingia Katika Soko La Lodwar Kaunti Ya Turkana Na Sekta Ya Usimamizi Wa Fedha Kwenye Kaunti Hiyo. Wafanyabiashara Hao Wanasema Srikali Inawatoza Ada Ya Kiwango Cha Juu Ilhali Haiwalipii Umeme Na Pia Mazingira Ni Machafu. Wanaitaka Serikali Kuzingatia Maslahi Yao Na Kuboresha Hali Yao Ya Kazi.