UGAIDI GARISSA: Walimu watatu wameuawa leo, shambulizi lilifanywa eneo la Kamuthe

KTN News Jan 13,2020


View More on Leo Mashinani

Taarifa Kutoka Kaunti Ya Garissa Zinaarifu Kwamba Wanamgambo Wa Alshabaab Mapema Leo Wamewaua Walimu Watatu Wanaosemekana Si Wenye Asili Ya Eneo Hilo, Katika Eneo La Kamuthe. Kwenye Shambulizi Hilo Inaarifiwa Kuwa Magaidi Hao Aidha Wameharibi Mnara Wa Mawasiliano Ya Simu Za Mkononi.