.
8th January, 2020
Wakazi Wa Eneo La Chebarus Kaunti Ya Uasin Gishu Waliandamana Mapema Leo Kwa Madai Ya Kuachiliwa Kwa Mshukiwa Wa Ubakaji Anayedaiwa Kumbaka Mwanafunzi Wa Shule Ya Upili. Mshukiwa Ambaye Ni Mmiliki Wa Shule Ya Sekondari Moja Viungani Mwa Kaunti Ya Uasin Gishu. Wakazi Hao Wenye Ghadhabu Walitishia Kuteketeza Shule Hiyo Ya Upili Ya Wasichana Kwa Misingi Kuwa Haijafikia Viwango Vinavyohitajika Na Hivyo Inahatarisha Maisha Ya Wasichana Wanaolala Shuleni Humo.Walitoa Wito Kwa Waziri Wa Elimu Prof George Magoha Kuingilia Kati.