×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Miguna Miguna ahidi kuwasili nchini licha ya ilani ya tahadhari iliyotelewa na serikali ya Kenya

7th January, 2020

Wakili Miguna Miguna amezuiliwa kusafiri humu nchini kwa mara nyingine serikali ya kenya ikitoa tahadhari  kwamba asiondoke ujerumani kuelekea uwanja wa kimataifa wa JKIA au nchi yoyote ya Afrika. Kama anavyoarifu mwanahabari wetu geff kirui wizara ya masuala ndani na ile ya musuala ya nchi za nje iliafikia kwenye mkutano wao kwamba ni sharti Miguna Miguna awe na pasipoti ya Kenya ili aruhusiwe kuingia nchini.

.
RELATED VIDEOS