Ajuza aliyemuona Mtawa Irene Stefani amesherehekea miaka 100 leo

KTN News Jan 03,2020


View More on KTN Leo

Kwa Waumini Wa Kanisa Katoliki, Mbarikiwa Irene Stefani (Nyaatha) Ni Mtawa Anayesifika Kwa Matendo Yake Ya Huruma Miaka Ya Uhai Wake, Ila Kwa Familia Moja Huko Nyeri, Jina Nyaatha Lina Maana Hata Zaidi. Mama Yao Emma Wangechi, Mwenye Umri Wa Miaka Mia Moja, Ni Miongoni Mwa Watu Wachache Zaidi Ambao Wangali Hai, Waliopata Fursa Ya Kumwona Na Kumgusa Nyaatha Alipokuwa Hai. Ibrahim Karanja Alipatana Na Mama Emma Akisherehekea Siku Yake Ya Kuzaliwa, Na Kuandaa Taarifa Ifuatayo.