Bandari ya Mombasa yaandikisha rekodi ya kupokea shehena ya mizigo

KTN News Dec 30,2019


View More on KTN Leo

Bandari ya Mombasa  imeandikisha rekodi mpya ya kupokea shehena ya mizigo bandarini meneja mkurugenzi wa mamlaka ya bandari daniel manduku amezungumza na wanahabari bandarini mapema leo na kuainisha mipango ya mamlaka hiyo mwaka ujao pamoja na ufanisi wake mwaka 2019. Aidha Manduku amesema patakuwepo na njia mwafaka ya kusuluhisha tatizo linalokumba wafanyakazi wa bandari ya mombasa na haswa uchukuzi wa shehena kutumia reli ya kisasa SGR.