.
28th December, 2019
<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>
Je shilingi elfu moja na mia nne ina maana gani kwako? kwa  maharusi sitini na wannne hiki ndicho kiasi cha fedha walizotumia katika kufanya harusi ya jumla hii leo katika kanisa la AIC liloko eneo la Pipeline Embakasi hapa Nairobi.