Zaidi ya watu 70 wafariki kwa shabulizi linalodaiwa kuwa la kigaidi Mogadishu

KTN News Dec 28,2019


View More on KTN Leo

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>

? <style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>

Zaidi ya watu 70 wamefariki katika shambulizi linalodaiwa  kuwa la kigaidi nchini somalia. kwa mujibu wa taarifa ni kuwa  shambulizi hilo lilitekelezwa kupitia gari lililosheheni mabomu.