Mtoto wa miezi sita adaiwa kuuawa na kuku Kakamega

KTN News Dec 27,2019


View More on KTN Leo

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.4px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>

Familia moja kutoka kijiji cha Shikokhwe eneo bunge la  Malava kaunti ya Kakamega inaomboleza kifo cha mwanao mchanga ambaye alifariki kwa kile kinachodaiwa kuwa  mshtuko wa moyo unaodaiwa kusababishwa na kuku mmoja mwenye vifaranga. Kulingana na mama wa mtoto huyo wa  miezi sita kuku huyo alimrukia japo bawa la kuku huyo  likamgusa usoni, baadaye mtoto akazimia huku juhudi zake za kumnusuru zikigonga mwamba.