×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Walimu na wazazi waelezea furaha yao baada ya shule ya Kabarak kunawiri katika mtihani wa KCSE

18th December, 2019

Shule ya upili ya Moi Kabarak imekuwa ya nne kote nchini katika kitengo cha shule zilizo na alama ya a baada ya watahiniwa 30 kupata alama hiyo. Walimu na wazazi aidha wameeleza furaha yao kuhusu matokeo hayo baada Ezra Kizito kuibuka wa sita kote nchini.

.
RELATED VIDEOS