Hospitali ya mediheal, eldoret imetambua njia kubadilisha figo kupitia teknolojia.
17th December, 2019
<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 10.0px Arial}
span.Apple-tab-span {white-space:pre}
</style>
Maradhi ya figo yanaendelea kuwa tishio haswa kwa watoto ambao hawajafikisha miaka kumi na mitano. Ila hospitali ya mediheal iliyoko eldoret imetambua namna ya kukabili tatizo hilo kupitia teknolojia.