.
17th December, 2019
<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>
Abiria wa kampuni ya Modern Coast kwa mara nyingine tena wamejipata matatani baada ya kampuni hiyo kuwaahidi kutangaza kurejelea huduma za usafiri wa umma leo, jambo ambalo halikufanyika baada ya mamlaka ya uchukuzi na  usalama barabarani ntsa kukanusha madai ya kurejeshewa kwa leseni ya kampuni hio.