16th December, 2019
Muungano Wa Waendeshaji Pikipiki Huko Pwani Ya Kenya Umeanzisha Mpango Wa Kuwa Na Hafla Za Kushindana Kuendesha Pikipiki Kubwa Kila Mwaka. Mwaka Huu Waliandaa Tamasha Zao Kutoka Tarehe 12 Hadi 14 Disemba. Wanapata Wanachama 50 Hivi.