Askofu Mkuu Jackson Ole Sapit amewasihi wakenya kusoma na kuielewa Ripoti ya BBI

KTN News Dec 14,2019


View More on KTN Leo

Askofu Mkuu Wa Kanisa La Kianglikana Chini Jackson Ole Sapit Amewasihi Wakenya Kusoma Na Kuielewa Ripoti Ya Bbi. Akizungumza Katika Kanisa La All Saints Cathedral Hapa Nairobi Sapit Amesema Kuwa Wakenya Wakijisomea Ripoti Hii Watakuwa Na Msimamo Dhabiti Kuihusu Pamoja Na Mapendekezo Yake. Hata Hivyo Ametofautiana Na Uamuzi Wa Rais Uhuru Kenyatta Wa Kuongeza Muda Wa Jopokazi La Bbi  Akisema Kuwa Rais Angeunda Jopo Jipya Ama Angewahusisha Wataalam Na Vijana Kwenye Jopo Hilo Kwa Maana Ripoti Yenyewe Inaangazia Masuala Ya Siku Za Usoni.