×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kampuni ya uchapishaji vitabu ya sportlight yasherekea miaka kumi

13th December, 2019

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>

Kampuni ya uchapishaji ya Spotlight Publishers imesherehekea miaka kumi tangu kuanzishwa kwake na kutathmini changamoto na ufanisi uliopo katika fani ya uandishi na uchapishaji. hafla hiyo iliyoandaliwa huko Westlands Sarit Center ilihudhuriwa na waandishi wa habari, wahariri, waandishi maarufu wa vitabu wakiwemo guru Wallah Bin Wallah, Said Ahmed Mohammed kutoka Zanzibar miongoni mwa wengine. Mgeni wa heshima Dkt. julius kipng'etich aliwashauri wachapishaji kuenda na wakati kwa kuzingatia mabadiliko kwenye uwanja wa uandishi ambao sasa unachukua mkondo wa dijitali. 

.
RELATED VIDEOS