×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kanisa la Katoliki la Kiembeni huko Mombasa lafanya Sherehe za Kitamaduni

10th December, 2019

Kanisa La Katoliki La Kiembeni Huko Mombasa Lilifanya Sherehe Za Kitamaduni Kusherehekea Tamaduni Za Kila Jamii Ya Waumini Katika Kanisa Hilo. Lengo Kuu La Sherehe Hiyo Ni Kuzileta Pamoja Jamii Hizo Kuishi Kwa Amani Na Upendo. Askofu Martin Kivuva Hata Hivyo Amesema Sherehe Hiyo Ilibuniwa Baada Ya Uchaguzi Wa Mwaka 2017 Uliogawanya Jamii. 

.
RELATED VIDEOS