×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Washukiwa waliodaiwa kumuumiza mtu mmoja Meru wafikishwa mahakamani

9th December, 2019

Washukiwa wanne wamefikishwa kwenye mahakama ya Githongo kaunti ya Meru na kukana shtaka la kupiga na kuumiza George Mutura na kumsababishia madhara ya kudumu mwezi Novemba mwaka huu. Washukiwa hao ni Meshack Muthomi, Bernard Mutwiri, Alfred Mutwiri, na James Mutuma walifika mbele ya hakimu mkuu wa Githongo Susan Ndegwa. Meshack Muthomi na Bernard Mutwiri walikana shtaka hilo naye Alfred Mutwiri aliachiliwa huru kwa kukosa ushahidi. James Mutuma naye aliamuriwa kuripoti katika kituo cha polisi cha Githongo. Muathiriwa kwa jina George Mutura bado anaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya Meru level 5.

 

.
RELATED VIDEOS