Vijiji Baringo vyamezwa na maji ya mvua

KTN News Dec 08,2019


View More on KTN Leo

Kero ya mvua inapozidi kushuhudiwa kote nchini vijiji kadhaa katika kaunti ya Baringo vimemezwa na maji. Wakazi katika kijiji cha Sintaan na kile cha ngambo wamelazimika kuhamia maeneo salama baada ya mto perkera kuvunja kingo zake.