Mashindano ya Classic Safari Rally

KTN News Dec 06,2019


View More on KTN Leo

Kris Rosenberger Ameshinda Makala Ya Mwaka Huu Ya Mbio Za Magari Za East African Classic Rally. Raia Huyo Wa Austria Amemaliza Mbio Hizo Kwa Muda Kwa Saa 13, Dakika Moja Na Sekende 48 Akimpiku Nambari Mbili Stig Blomqvist Kwa Dakika Moja Na Sekunde 19.4. Mkenya Bora Zaidi Onkar Rai Amemaliza Mbio Hizo Katika Nafasi Ya Tatu.