Ligi Kuu ya Taifa KPL: Tusker, Bandari zasajili ushindi

KTN News Dec 06,2019


View More on KTN Leo

Klabu Ya Tusker Imechupa Hadi Kileleni Mwa Ligi Kuu Ya Taifa (KPL) Baada Ya Kuicharaza Kariobangi Sharks Mabao 3?1 Kwenye Mechi Ya Ligi Iliyochezwa Ugani Kasarani.Tusker Wanaongoza Ligi Hiyo Kwa Alama 27, Alama Mbili Zaidi Ya Gor Mahia. Katika Mechi Nyingine Wenyeji Bandari Walirejelea Ushindi Kwa Kuwatandika Wazito Mabao 4?1 Ugani Mbaraki Mombasa.