Murkomen asisitiza umuhimu wa kuhakikisha kuwa mapendekezo ya Ripoti ya BBI ni manufaa kwa Wakenya

KTN News Dec 06,2019


View More on Dira ya Wiki

Baadhi Ya Maseneta Na Wabunge Kutoka Eneo La Bonde La Ufa Wamepuzilia Mbali Mtazamo Wa Rais Uhuru Kenyatta Kwamba Walikuwa Wanamkosea Heshima Kwa Kuandaa Vikao Kujadili Ripoti ya BBI. Wakiongozwa Na Seneta Kipchumba Murkomen, Walielelea Kuwa Ni Jukumu Lao Kuhakikisha Kuwa Mapendekezo Ya Ripoti Ya Bbi Yataleta Manufaa Kwa Wakenya.