Watu wawili wametibitishwa kufariki baada ya Jumba kuporomoka eneo la Tassia mapema leo

KTN News Dec 06,2019


View More on Dira ya Wiki

Watu Wasiopungua 17 Wameokolewa Kutoka Jumba La Orofa 6 Lililoporomoka Mapema Leo Asubuhi Katika Mtaa Wa Tasia Eneo La Embakasi Hapa Nairobi. Watu 2 Wamethibitishwa Kufariki Kwenye Mkasa Huo Huku Wengine Wakidaiwa Kukwama Kwenye Vifusi Vya Jengo Hilo. Vikosi Vya Pamoja Vikijumuisha Maafisa Wa Jeshi Pamoja Na Wale Wa Msalaba Mwekundu Wamekuwa Eneo La Mkasa Tangu Mkasa Huo Kutokea Wakiendelea Na Shughuli Za Uokoaji. Inadaiwa Jengo Hilo Lilikuwa Na Nyumba 46 Za Makazi Wakati Wa Mkasa Huo.