×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Taabu ya Mafuriko: Familia zapoteza makao baada ya mto Turasha kuvunja kingo

6th December, 2019

Tukisalia kwenye taarifa za mafuriko, wakazi wa kijiji cha Gathiriga eneo bunge la kipipiri katika kaunti ya Nyandarua wamepoteza makazi yao baada ya mto Turasha kuvunja kingo zake kufuatia mvua kubwa inayozidi kunyesha. Mafuriko hayo yameacha familia zaidi ya nane bila makao na kuleta uharibifu mkubwa wa mimea pamoja na chakula.

 

.
RELATED VIDEOS