Serikali yaanza juhudi za uokoaji katika jumba la Tassia lililoanguka leo asubuhi

KTN News Dec 06,2019


View More on Leo Mashinani

Usalama wa wapangaji wa jengo moja katika mtaa wa tasia hapa jijini nairobi sasa unahofiwa baada ya jumba lenye ghorofa sita kuanguka asubuhi ya leo.