Kongamano la riadha lajitokeza kuamasisha wanariadha kutotumia dawa za kutitimua misuli

KTN News Dec 03,2019


View More on Sports

Shirikisho la riadha nchini AK, likishirikiana na muungano wa kimataifa wa uwiano wa riadha duniani  wamezindua mpango wa kuhamasisha wanariadha pamoja na kuwajumisha katika mpango wa kujitenga na utumiaji wa dawa za kutitimua misuli.kupitia mradi wa mbio za barabarani ,wanariadha watapewa fursa ya kuelimishwa kuhusiana na changamoto za dawa hizo.Takriban wanariadha 300 watajika kushiriki kongamano hilo la tarehe 4 7 Disemba.