Magoha akanusha madai ya udanganyifu katika uteuzi wa wanafunzi watakaojiunga na shule za upili
03, Dec 2019
Waziri wa elimu profesa George Magoha amekanusha madai kuwa hapakuwa na uwazi katika mchakato wa kuwateulia shule wanafunzi watakaojiunga na shule za sekondari uliofanywa jana. Akizungumza na walimu wakuu katika mkutano wao wa mwaka huko mombasa magoha amesema kuwa kuna wale wanaoendeleza propaganda kuhusu shughuli hiyo