Timothy Cheruiyot ajiandaa kushiriki mchezo wa olimpiki huku akilenga kuishidia Kenya dhahabu

KTN News Dec 03,2019


View More on Sports

Bingwa wa dunia wa mbio za mita 1500 mkenya Timothy Cheruiyot anapania kushinda dhahabu katika michuano ya olimpiki ya Tokyo Japan mwaka 2020 . Cheruiyot aliandikisha mda wa dakika 3.29.26. Aidha anawinda kuboresha mda wake