Francis Kimanzi ateua kikosi kitakachowakilisha Kenya katika michuano ya CECAFA

KTN News Dec 03,2019


View More on Sports

Kocha mkuu wa Harambee Stars Francis Kimanzi ameteuwa kikosi kitakachowakilisha Kenya katika michuano ya CECAFA itakayoandaliwa Uganda kuanzia tarehe 7 hadi 19. Kenya iko kundi la C pamoja na Tanzania,Djibouti na Zanzibar.