Ulemavu si hoja: Ipo mikakatii ya kupambana na ubaguzi
2nd December, 2019
Desemba Tarehe Tatu Ni Siku Kuu Ya Watu Wanaoishi Na Ulemavu Duniani. Maudhui Ya Siku Hii Huwa Kuangazia Mikakati Ya Kufanikisha Ujumuishaji Wa Walemavu Mbalimbali Na Kupambana Na Ubaguzi Dhidi Yao.