Wakenya waadhimisha siku kumi kupinga dhulma za kijinsia
25th November, 2019
Leo ikiwa siku ya kwanza kwenye maadhimisho ya siku kumi na sita dhidi ya dhuluma za jinsia kote duniani, Wakenya wa matabaka mbali mbali wamekongamana maeneo tofauti kutoa sauti zao kuhusiana na siku hiyo.