×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

LSK yajiandaa kufanya uchaguzi wa rais wake

25th November, 2019

Kinyang'anyiro cha wadhifa wa urais katika chama cha wanasheria nchini LSK kimeng'oa nanga. 

Wawaniaji wanne wamewasilisha karatasi zao kwa nafasi hiyo, miongoni mwao wakiwa ni pamoja na naibu rais wa chama hicho Harriet Chaggai, Maria Mutua ambaye ni mkewe Gavana wa Laikipia, mwengine akiwa ni wakili wa mahakama kuu Nelson Havi.

.
RELATED VIDEOS