×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Uchunguzi unaendelea kubaini kiini cha Kifo cha wakili Sammy Anyanzwa

25th November, 2019

Uchunguzi unaendelea kubaini kiini cha Kifo cha wakili Sammy Anyanzwa aliyeanguka hadi kufa kutoka jengo la Uhuru na Kazi mjini Mombasa. 

Kufikia sasa haijabainika iwapo wakili huyo alirushwa kutoka orofa hiyo ama alijiangusha. Aidha familia inasisitiza kuwa Anyanzwa hakuripoti kuhusu tishio lolote kwa maisha yake na alikuwa akiishi kwa furaha. Je wakili huyo aliuawa ama alijirusha? 

.
RELATED VIDEOS